Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro, ametoa wito kwa serikali ya Kenya kuharakisha utekelezaji wa elimu ya sekondari ya bure kikamilifu, akisema kuwa haki ya kupata elimu lazima ilindwe na isitawaliwe na ...
Kabla ya kukamilika kwa Alhamisi hii, wanafunzi zaidi ya milioni moja nukta mbili nchini kenya watakuwa wameshapata matokeo yao ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane unaofahamika kwa kiingereza kama ...
Sera hiyo iliyofanyiwa maboresho imeanzisha somo la Ujasiriamali kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwapatia ujuzi utakaowawezesha kujiajiri au kufanya shughuli kwa kutumia elimu ...
Ripoti mpya ya hali ya elimu Barani Afrika iliyotolewa na Benki ya dunia imeziorodhesha nchi za Uganda na Tanzania katika kundi la pili la mataifa yenye kiwango cha juu cha watoto wanaoachia katikati ...
(Nairobi) – Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kisheria na kisera za kutosha zinazohitajika katika kulinda haki ya wasichana wajawazito na wamama vijana ya kupata elimu na kurekebisha miaka ya ...
Nchini Kenya mfumo wa elimu na mitihani wa 8-4-4 umefikia kikomo huku wanafunzi wa shule ya msingi wakifanya mtihani wa mwisho wa kumaliza darasa la nane, KCPE. Baada ya sasa, wanafunzi wa shule ya ...
(Nairobi) – Kesi ya muhimu juu ya katazo la Tanzania dhidi ya wanafunzi wajawazito, walioolewa, au ambao ni kina mama katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inaweza kuathiri kwa kiasi ...