TANZANIA inaendelea kupanua wigo wa ushirikiano wa kimataifa katika sayansi na teknolojia, baada ya ujumbe wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwenda Korea Kusini kwa lengo la kufungua fursa mpy ...
Naibu Waziri Wanu aliambatana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwana pamoja na viongozi na waratibu wa Samia Scholarship Extended ...
Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa ...
Agosti 2022, nchi hizo mbili ambazo ni wanachama wa SADC zilitia saini makubaliano hayo kama sehemu ya juhudi za kukuza lugha ...
Utafiti ambao unafanyia majaribio teknolojia inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutofautisha watu wapenzi wa kawaida na wapenzi wa jinsia moja umezua mzozo mkali kati ya waliotayarisha teknolojia hiyo na ...
Mashirika kote duniani yamewekeza hela nyingi kwenye teknolojia ya akili mnemba ila changamoto zimejitokeza. Gharama na faida ambayo havitabiriki, kupungua kwa watumiaji ni ishara kuwa mambo huenda ...
Bunge la Ulaya mjini Strasbourg nchini Ufaransa, limeidhinisha kwa mara ya mwisho sheria kadhaa za Umoja wa Ulaya zitakazotumika kusimamia matumizi ya teknolojia ya Akili za kubuni, ikiwemo mifumo ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...
Katika Taasisi ya Ujuzi ya Maendeleo ya Kazi- UICD- iliyoko Mashariki mwa jiji la Nairobi,nchini Kenya vijana wanajifunza ubunifu mbalimbali kwa kutumia Teknolojia ya Akili mnemba yaani artificial ...